Kamati ya usajili ya Simba imeshamalizana na kiungo wa Yanga Ibrahim Ajib ambapo inaelezwa tayari amesaini mkataba wa miaka miwili kuwatumikia mabingwa hao wa Tanzania Bara
Tetesi zimekuwa nyingi juu ya usajili wa Ajib lakini dili la kutua Msimbazi tayari limekamilika anasubiri kumaliza mkataba wake Juni 30 aanze rasmi kujidai ndani ya uzi mwekundu wa mabingwa wa nchi
Uongozi wa Simba unaendelea kuwatangaza wachezaji ambao wameshasaini mikataba ya kukipiga Msimbazi
ADVERTISE HERE