Kikosi cha vijana cha Simba Sc umri chini ya miaka 20 kimepenya hatua ya fainali ya michuano ya ligi ya vijana U20 ambapo kimepangwa kundi A pamoja na watani zao Yanga, Kagera Sugar na Ruvu Shooting
Leo Simba itashuka uwanja wa Azam Complex kuumana na Ruvu Shooting
Hii hapa ratiba ya michezo yote;

ADVERTISE HERE