Mlinda lango namba moja wa Simba na timu ya Taifa Aishi Manula nae ameongeza mkataba wa miaka mitatu kuwatumikia mabingwa hao wa Tanzania Bara
Manula ni miongoni mwa wachezaji waliosaini mikataba yao kabla ya kutimkia Misri kutimiza majukumu ya timu ya Taifa kwenye michuano ya AFCON 2019 inayoanza wiki ijayo nchini humo


ADVERTISE HERE