Utata wa usajili wa Bocco ulishamalizwa

Mwana Msimbazi By Mwana Msimbazi
β€’
11 Jun 2019
Utata wa usajili wa Bocco ulishamalizwa

Uongozi wa klabu ya Simba umetoa ufafanuzi juu ya taarifa zilizotolewa na klabu ya Polokwane City inayodai kuwa ilimsajili nahodha wa timu hiyo John Bocco

Kulingana na taarifa iliyotolewa na Msemaji wa Simba Haji Manara mapema leo, imesema pande zote mbili zilishazungumza na mwafaka ukapatikana

Polokwane ilimsajili Bocco bila kutoa taarifa kwa uongozi wa Simba kinyume na taratibu za FIFA

Hivyo Bocco ataendelea kuitumikia Simba baada ya kuongeza mkataba wa miaka miwili

ADVERTISE HERE

Simba SC Stories

Fountain Gate wanaandaliwa dozi inayowatosha
Fountain Gate wanaandaliwa dozi inayowatosha
55m ago
READ MORE β†’
Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
2h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
7h ago
READ MORE β†’
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
18h ago
READ MORE β†’
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
1d ago
READ MORE β†’
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
1d ago
READ MORE β†’
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
1d ago
READ MORE β†’
FT : Simba 3-0 15 de Agosto, makundi CAFCL kibabe
FT : Simba 3-0 15 de Agosto, makundi CAFCL kibabe
1d ago
READ MORE β†’