Kabunda kuigharimu Simba Mil 60

Mwana Msimbazi By Mwana Msimbazi
β€’
12 Dec 2017
Kabunda kuigharimu Simba Mil 60
Klabu ya Mwadui FC iko tayari kumuachia winga wake Hassani Kabunda ajiunge na Simba iwapo Simba itakuwa tayari kuvunja mkataba wake unaogharimu Mil 30.

Kabunda bado ana mkataba na Mwadui F,C mkataba unaomalizika mwishoni mwa msimu.

Hata hivyo kwa kuwa Simba inamtaka winga huyo sasa inalazimika kulipa kiasi hicho cha pesa kuvunja mkataba huo na pia italazimika kutoa Mil 30 nyingine zikiwa ni makubaliano na mchezaji mwenyewe ili aweze kusaini.

Winga huyo anasajiliwa ikiwa ni miongoni mwa mapendekezo ya kocha mkuu wa Simba Joseph Omog aliyetaka atafutiwe winga wa kusaidiana na Shiza Kichuya.
ADVERTISE HERE

Simba SC Stories

Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
4h ago
READ MORE β†’
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
10h ago
READ MORE β†’
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
13h ago
READ MORE β†’
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
16h ago
READ MORE β†’
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
16h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
17h ago
READ MORE β†’
FT : Simba 3-0 15 de Agosto, makundi CAFCL kibabe
FT : Simba 3-0 15 de Agosto, makundi CAFCL kibabe
1d ago
READ MORE β†’
Goals : Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Goals : Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Kikosi : Simba vs 15 de Agosto, CAFCL R2
Kikosi : Simba vs 15 de Agosto, CAFCL R2
1d ago
READ MORE β†’
Mnyama kutinga makundi CAFCL kwa rekodi dhidi ya 15 de Agosto leo
Mnyama kutinga makundi CAFCL kwa rekodi dhidi ya 15 de Agosto leo
1d ago
READ MORE β†’