Kikosi cha tmu ya Taifa ya Tanzania 'Taifa Stars' baada ya kuwasili nchini Misri, jana kilianza mazoezi kwenye uwanja wa Movenpick kujiandaa na mashindano ya AFCON
Stars imeweka kambi Misri kujiandaa na michuano hiyo inayotarajiwa kuanza Juni 21 2019




ADVERTISE HERE