Mshambuliaji wa timu ya Simba ya Dar es Salaam, Meddie Kagere, amechaguliwa kuwa Mchezaji Bora wa mwezi Mei wa Ligi Kuu Tanzania Bara (TPL) msimu wa 2018/2019 akiwashinda Bigirimana Blaise wa Alliance FC ya Mwanza na Tariq Kiakala wa Biashara United ya Mara alioingia nao fainali
Aidha Kocha Mkuu wa KMC, Etienne Ndayiragije amechaguliwa kuwa Kocha Bora wa Mwezi Mei wa Ligi Kuu Tanzania Bara (TPL) msimu wa 2018/2019 akiwashinda Kocha Mkuu wa Simba, Patrick Aussems na Kocha Mkuu wa Alliance, Malale Hamsini

ADVERTISE HERE