Kapera akiri kufanya mazungumzo na Simba

Mwana Msimbazi By Mwana Msimbazi
β€’
6 Jun 2019
Kapera akiri kufanya mazungumzo na Simba

Mshambuliaji wa Kagera Sugar Ramadhani Kapera ni miongoni mwa wachezaji wa ndani wanaowaniwa na mabingwa wa Tanzania Bara Simba

Kapera aliyefunga mabao tisa ligi kuu msimu huu, anatajwa kuwaniwa na Simba akiwa miongoni mwa wachezaji wazawa wachache waliopendekezwa kusajiliwa na kocha Patrick Aussems

Mwenyewe amethibitisha kuwepo kwa mazungumzo, akisubiri kukamilishiwa kwa mahitaji yake ili aweze kumwaga wino mkataba wa miaka miwili Msimbazi

"Ni kweli Simba wananitaka na mazungumzo yanaendelea vizuri hivyo, lolote linawezekana katika soka kwani, ndio kazi yangu," Kapera amenukuliwa na Mwanaspoti

Inaelezwa Kapera ametaka kuongezewa dau la usajili, akikataa ofa ya Tsh Milioni 15 iliyotolewa awali

Timu nyingine zinazotajwa kumuwania Kapera ni KMC ya Dar es Salaam na Azam FC ambazo zote zitashiriki michuano ya kombe la Shirikisho msimu ujao

ADVERTISE HERE

Simba SC Stories

Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
7h ago
READ MORE β†’
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
13h ago
READ MORE β†’
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
16h ago
READ MORE β†’
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
19h ago
READ MORE β†’
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
19h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
20h ago
READ MORE β†’
FT : Simba 3-0 15 de Agosto, makundi CAFCL kibabe
FT : Simba 3-0 15 de Agosto, makundi CAFCL kibabe
1d ago
READ MORE β†’
Goals : Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Goals : Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Kikosi : Simba vs 15 de Agosto, CAFCL R2
Kikosi : Simba vs 15 de Agosto, CAFCL R2
1d ago
READ MORE β†’
Mnyama kutinga makundi CAFCL kwa rekodi dhidi ya 15 de Agosto leo
Mnyama kutinga makundi CAFCL kwa rekodi dhidi ya 15 de Agosto leo
1d ago
READ MORE β†’