Simba imeamua kuachana na nahodha wake Methodi Mwanjali sababu kubwa inayotajwa ikiwa swala la umri wake.
Taarifa za uhakika kutoka chanzo cha habari ndani ya uongozi wa Simba imebainisha kuwa kocha Mkuu Joseph Omog ndiye aliyependekeza kuvunjwa kwa mkataba wa Mwanjali.
Licha ya umri, swala la majeruhi ya mara kwa mara na kushuka kwa kiwango chake limetajwa kama sababu nyingine zilizosababisha mkataba wake uvunjwe.
Simba iko mbioni kukamilisha usajili wambadala wake kabla dirisha la usajili halijafungwa Ijumaa, Disemba 15.

ADVERTISE HERE