Kocha Mkuu wa Simba Patrick Aussems yuko kwao Ubelgiji kwa ajili ya mapumziko baada ya kumalizika kwa msimu wa ligi kuu ya Tanzania Bara
Baada ya kuwa na msimu wenye mafanikio, Aussems amerejea kwao kujipanga kufanya mambo makubwa zaidi msimu ujao


ADVERTISE HERE