Kikosi cha Simba leo kimefanya mazoezi maalum katika ufukwe wa Coco jijini Dar es salaam.
Mazoezi hayo ya kujenga stamina yamesimamiwa na kocha msaidizi Masoudi Djuma aliyeachiwa majukumu ya kikosi cha Simba wakati Kocha Mkuu Joseph Omog akiwa bado yuko mapumziko nchini Cameroon.
Omog anatarajiwa kuwasili kabla ya Ijumaa, siku ambayo dirisha dogo la usajili linatarajiwa kufungwa.

ADVERTISE HERE