Aussems kuwahi michuano ya Kagame

Mwana Msimbazi By Mwana Msimbazi
β€’
3 Jun 2019
Aussems kuwahi michuano ya Kagame

Kocha Mkuu wa Simba Patrick Aussems tayari ameondoka nchini kwenda mapumziko kwao Ubelgiji baada ya majukumu ya msimu mzima akiiwezesha Simba kutetea ubingwa pamoja na kufika robo fainali ligi ya mabingwa

Aussems anatarajiwa kurejea nchini mwishoni mwa mwezi huu kuanza maandalizi ya michuano ya kombe la Kagame ambao itafanyika Rwanda kuanzia Julai 07 mpaka Julai 21 2019

Aussems ameondoka akiwa ameacha ripoti ya maboresho ya kikosi kwa viongozi wa Simba

Simba itashiriki michuano ya Kagame wakiwa mabingwa wa Tanzania Bara wakati Azam Fc itakwenda kushiriki wakiwa mabingwa watetezi wa michuano hiyo

Aidha ZESCO United, Vita Club na DC Motema Pembe zimealikwa katika michuano hiyo ya mwaka huu

ADVERTISE HERE

Simba SC Stories

Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
3h ago
READ MORE β†’
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
9h ago
READ MORE β†’
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
12h ago
READ MORE β†’
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
15h ago
READ MORE β†’
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
15h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
16h ago
READ MORE β†’
FT : Simba 3-0 15 de Agosto, makundi CAFCL kibabe
FT : Simba 3-0 15 de Agosto, makundi CAFCL kibabe
1d ago
READ MORE β†’
Goals : Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Goals : Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Kikosi : Simba vs 15 de Agosto, CAFCL R2
Kikosi : Simba vs 15 de Agosto, CAFCL R2
1d ago
READ MORE β†’
Mnyama kutinga makundi CAFCL kwa rekodi dhidi ya 15 de Agosto leo
Mnyama kutinga makundi CAFCL kwa rekodi dhidi ya 15 de Agosto leo
1d ago
READ MORE β†’