Mechi za Playoff zaahirishwa, kuchezwa Jumatatu

Mwana Msimbazi By Mwana Msimbazi
β€’
2 Jun 2019
Mechi za Playoff zaahirishwa, kuchezwa Jumatatu

TAARIFA

Mechi za playoff kati ya Pamba SC na Kagera Sugar FC, na Geita Gold FC na Mwadui FC zilizokuwa zichezwe leo (Juni 2) zimesogezwa mbele hadi kesho (Juni 3) kutokana na sababu za kiusalama.

Mechi zote, zikiwemo za marudiano zitakazochezwa Juni 8 zitaoneshwa moja kwa moja ( live ) na kituo cha televisheni cha Azam TV.

Usalama wa magari ya Azam TV ulikuwa mdogo kutokana na baadhi ya washabiki kutishia kuvunja vioo wakipinga mechi hizo kuoneshwa.

Kwa mujibu wa Kanuni za Ligi, haki za matangazo ya televisheni ni mali ya Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF). Timu itakayozuia mechi yake kuoneshwa, itahesabika kuwa haikufika uwanjani, hivyo itachukuliwa hatua kwa mujibu wa kanuni.

Viongozi wa timu husika waepuke kutoa matamko ambayo ni kinyume na kanuni za mpira wa miguu. Kwa watakaokwenda kinyume watachukuliwa hatua za kinidhamu na kimaadili.

Imetolewa na;

TFF

ADVERTISE HERE

Simba SC Stories

Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
1h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
6h ago
READ MORE β†’
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
17h ago
READ MORE β†’
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
23h ago
READ MORE β†’
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
1d ago
READ MORE β†’
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
1d ago
READ MORE β†’
FT : Simba 3-0 15 de Agosto, makundi CAFCL kibabe
FT : Simba 3-0 15 de Agosto, makundi CAFCL kibabe
1d ago
READ MORE β†’
Goals : Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Goals : Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
1d ago
READ MORE β†’