Stars yaanza kujifua maandalizi ya AFCON 2019

Mwana Msimbazi By Mwana Msimbazi
β€’
2 Jun 2019
Stars yaanza kujifua maandalizi ya AFCON 2019

Kikosi cha timu ya Taifa ya Tanzania 'Taifa Stars' leo kimeanza maandalizi ya michuano ya AFCON 2019

Stars iliyoweka kambi Whitesands Hotel, inajifua katika uwanja wa Taifa

Nahodha wa Simba John Bocco ni miongoni mwa wachezaji waliohudhuria mazoezi hayo ya kwanza

Nyota wngine wa Simba walioitwa katika kikosi cha awali kilichojumuisha wachezaji 39 ni Aishi Manula, Shomari Kapombe, Mohammed Hussein, Erasto Nyoni na Jonas Mkude

ADVERTISE HERE

Simba SC Stories

Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
9m ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
4h ago
READ MORE β†’
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
16h ago
READ MORE β†’
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
21h ago
READ MORE β†’
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
1d ago
READ MORE β†’
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
1d ago
READ MORE β†’
FT : Simba 3-0 15 de Agosto, makundi CAFCL kibabe
FT : Simba 3-0 15 de Agosto, makundi CAFCL kibabe
1d ago
READ MORE β†’
Goals : Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Goals : Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
1d ago
READ MORE β†’