Azam mabingwa kombe la FA

Mwana Msimbazi By Mwana Msimbazi
β€’
1 Jun 2019
Azam mabingwa kombe la FA

Azam Fc imeungana na mabingwa wa ligi kuu Simba kushiriki michuano ya CAF msimu ujao baada ya kuichapa Lipuli Fc bao 1-0 katika mchezo wa fainali uliopigwa uwanja wa Ilulu mkoani Lindi

Obrey Chirwa ndiye aliyeifungia Azam Fc bao pekee la ushindi katika mchezo huo ambao Lipuli Fc ilionyesha upinzani mkali kwa Wana 'rambaramba' hao

Licha ya kutwaa kombe, Azam Fc itapata zawadi ya Tsh Milioni 50

Azam Fc sasa itashiriki michuano ya kombe la Shirikisho Barani Afrika msimu ujao wakati Simba itarejea katika michuano ya ligi ya mabingwa baada ya kutwaa ubingwa wa ligi kuu msimu huu

ADVERTISE HERE

Simba SC Stories

Fountain Gate wanaandaliwa dozi inayowatosha
Fountain Gate wanaandaliwa dozi inayowatosha
1m ago
READ MORE β†’
Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
1h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
6h ago
READ MORE β†’
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
17h ago
READ MORE β†’
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
23h ago
READ MORE β†’
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
1d ago
READ MORE β†’
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
1d ago
READ MORE β†’
FT : Simba 3-0 15 de Agosto, makundi CAFCL kibabe
FT : Simba 3-0 15 de Agosto, makundi CAFCL kibabe
1d ago
READ MORE β†’