Aussems kwenda mapumziko Ubelgiji

Mwana Msimbazi By Mwana Msimbazi
β€’
31 May 2019
Aussems kwenda mapumziko Ubelgiji

Kocha Mkuu wa Simba Patrick Aussems kesho anaondoka kurudi kwao nchini Ubelgiji kwa ajili ya mapumziko

Aussems jana aliongoza benchi la ufundi kushiriki katika hafla ya Mo Simba Awards iliyofanyika Hoteli ya Kilimanjaro jijini Dar es salaam

Licha ya Aussems kuondoka, michakato yote ya usajili itafanywa na viongozi wa Simba kwani tayari amekabidhi ripoti kwa ajili ya maboresho ya kikosi

Aussems anatarajiwa kurejea mwishoni mwa mwezi ujao tayari kwa maandalizi ya msimu mpya ambapo Simba inatarajiwa kwenda kuweka kambi Ureno au Marekani

ADVERTISE HERE

Simba SC Stories

Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
3h ago
READ MORE β†’
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
15h ago
READ MORE β†’
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
21h ago
READ MORE β†’
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
1d ago
READ MORE β†’
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
1d ago
READ MORE β†’
FT : Simba 3-0 15 de Agosto, makundi CAFCL kibabe
FT : Simba 3-0 15 de Agosto, makundi CAFCL kibabe
1d ago
READ MORE β†’
Goals : Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Goals : Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Kikosi : Simba vs 15 de Agosto, CAFCL R2
Kikosi : Simba vs 15 de Agosto, CAFCL R2
1d ago
READ MORE β†’