Omog kurejea wiki hii

Mwana Msimbazi By Mwana Msimbazi
β€’
11 Dec 2017
Omog kurejea wiki hii
Kocha Mkuu wa Simba Joseph Omog ambaye alipewa mapumziko ya wiki kadhaa kufuatia kusimama kwa ligi anatarajiwa kurejea wiki hii.

Kwa sasa kikosi cha Simba kipo chini ya kocha Msaidizi Masoudi Djuma.

Licha ya kutokuwepo nchini, Omog amekuwa akiwasiliana kwa karibu na uongozi wa Simba kuhakikisha ripoti yake ya usajili inafanyiwa kazi.

Dirisha la usajili linatarajiwa kufungwa siku ya ijumaa wiki hii, siku nne zimesalia.

Omog ametaka kikosi chake kiongezewe mlinda lango, beki wa kati anayeweza kucheza pembeni, winga na mshambuliaji.
ADVERTISE HERE

Simba SC Stories

Fountain Gate wanaandaliwa dozi inayowatosha
Fountain Gate wanaandaliwa dozi inayowatosha
1m ago
READ MORE β†’
Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
1h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
6h ago
READ MORE β†’
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
17h ago
READ MORE β†’
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
23h ago
READ MORE β†’
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
1d ago
READ MORE β†’
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
1d ago
READ MORE β†’
FT : Simba 3-0 15 de Agosto, makundi CAFCL kibabe
FT : Simba 3-0 15 de Agosto, makundi CAFCL kibabe
1d ago
READ MORE β†’