Mo afafanua usajili wa Ajib

Mwana Msimbazi By Mwana Msimbazi
β€’
30 May 2019
Mo afafanua usajili wa Ajib

Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi ya Simba Mohammed Dewji 'Mo' amesema Bodi yake bado haijakaa kujadili ripoti ya usajili iliyowasilishwa na kocha Patrick Aussems hivyo hakuna ukweli wowote juu usajiliwa kiungo wa Yanga Ibrahim Ajib

Mo amesema bado hawajaanza michakato ya usajili kwa wachezaji wapya na pia wa zamani, zoezi hilo watalianza wiki ijayo

"Bado kama uongozi hatujakaa kuanza kufanyia kazi mapendekezo ya benchi la ufundi na hadi sasa hakuna mchezaji yeyote ambaye tumemsajili wala kumalizana naye lakini baada ya wiki moja nitakuwa na jibu kama atakuja au la baada ya kukutana na wenzangu," amesema MO

Kumekuwa na taarifa zinazo-kinzana kuhusu kiungo huyo aliyemaliza mkataba katika klabu ya Yanga

Ajib ni zao la Simba kwani alilelewa katika timu ya vijana kabla ya kutimkia Yanga miaka miwili iliyopita

Inaelezwa alikataa kujiunga na TP Mazembe iliyokuwa ikimuwania ili aweze kujiunga na Simba, mabingwa wa Tanzania Bara

ADVERTISE HERE

Simba SC Stories

Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
3h ago
READ MORE β†’
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
9h ago
READ MORE β†’
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
12h ago
READ MORE β†’
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
15h ago
READ MORE β†’
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
15h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
16h ago
READ MORE β†’
FT : Simba 3-0 15 de Agosto, makundi CAFCL kibabe
FT : Simba 3-0 15 de Agosto, makundi CAFCL kibabe
1d ago
READ MORE β†’
Goals : Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Goals : Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Kikosi : Simba vs 15 de Agosto, CAFCL R2
Kikosi : Simba vs 15 de Agosto, CAFCL R2
1d ago
READ MORE β†’
Mnyama kutinga makundi CAFCL kwa rekodi dhidi ya 15 de Agosto leo
Mnyama kutinga makundi CAFCL kwa rekodi dhidi ya 15 de Agosto leo
1d ago
READ MORE β†’