Hafla ya utolewaji wa tuzo kwa wachezaji na wadau mbalimbali wa klabu ya Simba inafanyika jioni hii Kilimanjaro Hotel jijini Dar es salaam
Tayari wageni waalikwa wameanza kuingia ukumbini wakiwemo wachezaji, viongozi pamoja na benchi la ufundi la Simba





ADVERTISE HERE