Tuzo za Mo Simba Awards zitatolewa leo Kilimanjaro Hotel katika hafla itakayoongozwa na mgeni rasmi Mh Job Ndugai, Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Katika hafla hiyo ambayo itarushwa mbashara na Azam Sport 2, tuzo zitatolewa kulingana na vipengele 11 kama vilivyoainishwa hapa chini;

ADVERTISE HERE