Bodi ya ligi yairudisha Kagera Sugar ligi kuu, Stand United yashuka na African Lyon

Mwana Msimbazi By Mwana Msimbazi
β€’
29 May 2019
Bodi ya ligi yairudisha Kagera Sugar ligi kuu, Stand United yashuka na African Lyon

Mtendaji Mkuu wa Bodi ya Ligi (TPLB) Boniface Wambura amekiri kuwepo kwa makosa ya takwimu na kuirejesha timu ya Kagera suger katika ligi kuu

Akizungumza na waandishi wa habari leo, Wambura amesema Kagera Sugar itacheza hatua ya play off.

Klabu ya Stand United ya Shinyanga ndio inayoshuka daraja moja kwa moja ikiungana na African Lyon

Wambura amesema kwa Makosa hayo ofisi yake inawajibika kwa kuomba radhi kwa mkanganyiko huo na kumpa adhabu aliyepotosha takwimu hiyo.

Lyon na Stand United zimeshuka moja kwa moja huku Kagera Sugar na Mwadui FC zitacheza Play Off na timu za Geita Gold na Pamba SC

ADVERTISE HERE

Simba SC Stories

Fountain Gate wanaandaliwa dozi inayowatosha
Fountain Gate wanaandaliwa dozi inayowatosha
1m ago
READ MORE β†’
Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
1h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
6h ago
READ MORE β†’
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
17h ago
READ MORE β†’
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
23h ago
READ MORE β†’
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
1d ago
READ MORE β†’
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
1d ago
READ MORE β†’
FT : Simba 3-0 15 de Agosto, makundi CAFCL kibabe
FT : Simba 3-0 15 de Agosto, makundi CAFCL kibabe
1d ago
READ MORE β†’