Mabingwa wa soka Tanzania Bara Simba wako mkoani Morogoro ambapo leo watacheza na Mtibwa Sugar katika mchezo wa kukamilisha msimu ambao utapigwa uwanja wa Jamhuri
Baada ya mchezo huo Simba itakabidhiwa taji la ubingwa wa ligi kuu waliotwaa kwa msimu wa pili mfululizo
Hiki hapa kikosi kinachoshuka dimbani;

ADVERTISE HERE