Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) na Bodi ya Ligi (TPBL) wametoa tahadhari kuelekea mechi za mwisho wa msimu Ligi Kuu Tanzania Bara zitakazochezwa kesho kwenye viwanja tofauti

Ligi inafikia tamati kesho ambapo timu zote 20 zinatarajiwa kushuka dimbani
Hii hapa ratiba ya michezo yote

ADVERTISE HERE