Kilimanjaro Stars imeyaaga rasmi mashindano ya Chalenji baada ya kukubali kipigo cha mabao 2-1 kutoka kwa Rwanda.
Hicho ni kipigo cha pili ndani ya siku mbili baada ya juzi kulazwa mabao 2-1 na ndugu zao Zanzibar Heroes.
Stars haikuwa katika kiwango bora na kipigo hicho ni matokeo ya mchezo mbovu ulioonyeshwa na kikosi cha Ninje katika mashindano hayo tangu mchezo wa kwanza.
Matumaini pekee ya Watanzania yanabaki kwa timu ya Zanzibar ambayo tayari imejikusanyia alama saba baada ya kushinda michezo mitatu.
Zanzibar imeshakata tiketi ya kutinga nusu fainali mapema baada ya kutoka suluhu ya 0-0 na Kenya.

ADVERTISE HERE