Aishi Manula ameibuka kuwa mchezaji bora wa Simba kwa mwezi Novemba 2017 baada ya kupigiwa kura na mashabiki wengi.
Simba ina utaratibu wa kuwapa tuzo wachezaji wake wanaofanya vizuri katika kila mechi na kila mwezi.
Manula aliyesajiliwa kutoka Azam FC, amekuwa nguzo muhimu katika kikosi cha Simba.

ADVERTISE HERE