Mo ataja sababu ya kuchelewa kutoa fedha za uwekezaji

Mwana Msimbazi By Mwana Msimbazi
β€’
23 May 2019
Mo ataja sababu ya kuchelewa kutoa fedha za uwekezaji

Mwekezaji wa klabu ya Simba Bilionea Mohammed Dewji 'Mo' amesema hivi karibuni atatoa Bilioni 20 za uwekezaji wa klabu hiyo alizoahidi kuzitoa baada ya kushinda zabuni

Akizungumza na waandishi wa habari jana, Mo amesema changamoto ya urasimishaji wa mali za Simba imepelekea yeye kuchelewa kutoa fedha hizo

"Simba haikuwa na nyaraka halisi zake yakiwemo majengo na uwanja wa Bunju. Uongozi ulilazimika kufanya kazi ya ziada kupata hati halisi kwa mujibu wa sheria, " alisema Mo

"Lakini pia Simba ilikuwa na madeni Mamlaka ya Mapato (TRA), klabu ilitakiwa kupeleka hesabu kwa kipindi kisichopungua miaka mitatu. Kwa sasa zoezi hilo limekamilika na hata hati halisi za mali za klabu zimekamilika hivyo kukamilisha mchakato wa kufanikisha zoezi la uwekezaji"

Mo alisema anatarajia kuanza kutoa fedha zilizomo ndani ya mkataba wa uwekezaji muda mfupi ujao baada ya mchakato wa uwekezaji kukamilika

Tangu Simba ilipofanya mabadiliko ya mfumo wa uendeshaji wake, Mo amekuwa akitoa fedha zote za kuiendesha timu hiyo ikiwemo kulipa mishahara ya wachezaji pamoja na mambo mengine yanayohusu fedha

Baada ya ligi kumalizika, Mo ameahidi kukiboresha kikosi cha Simba ambapo amesema fedha zitakazotumika kwenye usajili ni zaidi ya zile zilizotumika msimu uliopita

Msimu uliopita Simba ilitumia Tsh Bilioni 1.3 katika usajili

ADVERTISE HERE

Simba SC Stories

Simba kuanza na Pirates nyumbani makundi CAFCL
Simba kuanza na Pirates nyumbani makundi CAFCL
11h ago
READ MORE β†’
Simba uso kwa uso na Berkane, Pirates kundi C
Simba uso kwa uso na Berkane, Pirates kundi C
12h ago
READ MORE β†’
Simba yatangaza ratiba ya uchaguzi, Wanachama kuanza kuchukua fomu Oktoba 30
Simba yatangaza ratiba ya uchaguzi, Wanachama kuanza kuchukua fomu Oktoba 30
12h ago
READ MORE β†’
Hakuna rekodi ya zamani ambayo itaishi mbele ya Simba - Ahmed
Hakuna rekodi ya zamani ambayo itaishi mbele ya Simba - Ahmed
15h ago
READ MORE β†’
Makundi CAFCL kujulikana leo
Makundi CAFCL kujulikana leo
18h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
21h ago
READ MORE β†’
Janza atangazwa Mkurugenzi wa ufundi Simba
Janza atangazwa Mkurugenzi wa ufundi Simba
1d ago
READ MORE β†’
Barker hamuhofii yeyote makundi CAFCL
Barker hamuhofii yeyote makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Fountain Gate wanaandaliwa dozi inayowatosha
Fountain Gate wanaandaliwa dozi inayowatosha
1d ago
READ MORE β†’
Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
1d ago
READ MORE β†’