Uongozi wa klabu ya Simba umethibitisha mchezo wa ligi kuu ya Tanzania Bara dhidi ya Ndanda utapigwa keshokutwa Jumapili May 19 katika uwanja wa Uhuru
Mapema leo zilisambaa taarifa kwenye mitandao ya kijamii zikidai mchezo huo umerudishwa nyuma kwa siku moja, taarifa hizo hazina ukweli wowote
Kikosi cha Simba kimeingia kambini leo kujiandaa na mchezo huo
Simba inahitaji alama nne tu kuweza kutetea ubingwa waliotwaa msimu uliopita
ADVERTISE HERE