Tuzo ya kiungo bora wa mwaka, piga kura

Mwana Msimbazi By Mwana Msimbazi
β€’
17 May 2019
Tuzo ya kiungo bora wa mwaka, piga kura

Viungo James Kotei, Mzamiru Yassini na Jonas Mkude wameteuliwa kuwania tuzo ya kiungo bora wa mwaka

Wakati Kotei akiwa hataji sana, lakini ndio kiungo aliyekuwa na msaada zaidi kwa safu ya ulinzi ya Simba

Ukizungumzia kiungo 'mkata umeme' Kotei ndiye haswaa

Mzamiru amekuwa bora katika mechi za hivi karibuni, jina lake kuteuliwa kuwania tuzo hiyo sio jambo la kushangaza

Mkude ni kiungo kipenzi cha mashabiki wa Simba

Huyu anapendwa sana na mashabiki kwa sababu anaifanya kazi yake ipasavyo anapokuwa dimbani

Kupiga kura tembelea tovuti rasmi ya MO SIMBA AWARDS kwa kubonyeza HAPA>

ADVERTISE HERE

Simba SC Stories

Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
2h ago
READ MORE β†’
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
14h ago
READ MORE β†’
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
20h ago
READ MORE β†’
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
22h ago
READ MORE β†’
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
1d ago
READ MORE β†’
FT : Simba 3-0 15 de Agosto, makundi CAFCL kibabe
FT : Simba 3-0 15 de Agosto, makundi CAFCL kibabe
1d ago
READ MORE β†’
Goals : Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Goals : Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Kikosi : Simba vs 15 de Agosto, CAFCL R2
Kikosi : Simba vs 15 de Agosto, CAFCL R2
1d ago
READ MORE β†’