Tuzo ya beki bora wa mwaka, piga kura

Mwana Msimbazi By Mwana Msimbazi
β€’
17 May 2019
Tuzo ya beki bora wa mwaka, piga kura

Erasto Nyoni, Shomari Kapombe na Paschal Wawa wanawania tuzo ya beki bora wa mwaka

Licha ya kutokuwa dimbani kwa muda mrefu, uongozi wa Simba umetambua mchango wa Kapombe na kumuweka miongoni mwa wanaowania tuzo hiyo

Kabla ya kuumia, Kapombe alikuwa na mchango mkubwa kwenye kikosi cha Simba na hakika anastahili kuwekwa kwenye orodha hiyo

Kazi ya Wawa hasa kwenye michuano ya ligi ya mabingwa inafahamika

Licha ya kuumia katika mchezo wa kwanza wa robo fainali dhidi ya TP Mazembe, mchango wake hauwezi kupuuzwa kwenye michuano hiyo ambayo Simba iliweka rekodi

cut

Nyoni anakuwa bora kila siku. Ukizungumzia usajili bora kuwahi kufanywa na Simba, hutasita kutaja jina la Erasto Nyoni kwani amekuwa na manufaa makubwa kwa mabingwa hao wa Tanzania Bara

Kupiga kura tembelea tovuti rasmi ya MO SIMBA AWARDS kwa kubonyeza HAPA

ADVERTISE HERE

Simba SC Stories

Simba uso kwa uso na Berkane, Pirates kundi C
Simba uso kwa uso na Berkane, Pirates kundi C
9m ago
READ MORE β†’
Simba yatangaza ratiba ya uchaguzi, Wanachama kuanza kuchukua fomu Oktoba 30
Simba yatangaza ratiba ya uchaguzi, Wanachama kuanza kuchukua fomu Oktoba 30
31m ago
READ MORE β†’
Hakuna rekodi ya zamani ambayo itaishi mbele ya Simba - Ahmed
Hakuna rekodi ya zamani ambayo itaishi mbele ya Simba - Ahmed
3h ago
READ MORE β†’
Makundi CAFCL kujulikana leo
Makundi CAFCL kujulikana leo
5h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
8h ago
READ MORE β†’
Janza atangazwa Mkurugenzi wa ufundi Simba
Janza atangazwa Mkurugenzi wa ufundi Simba
23h ago
READ MORE β†’
Barker hamuhofii yeyote makundi CAFCL
Barker hamuhofii yeyote makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Fountain Gate wanaandaliwa dozi inayowatosha
Fountain Gate wanaandaliwa dozi inayowatosha
1d ago
READ MORE β†’
Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
1d ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
1d ago
READ MORE β†’