Tuzo ya mchezaji bora wa mwaka, piga kura

Mwana Msimbazi By Mwana Msimbazi
β€’
17 May 2019
Tuzo ya mchezaji bora wa mwaka, piga kura

Nahodha wa Simba John Bocco, Clatous Chama na Meddie Kagere wameteuliwa kuwania tuzo ya mchezaji bora wa mwaka msimu huu

Kupiga kura tembelea tovuti rasmi ya MO SIMBA AWARDS kwa kubonyeza HAPA

Hafla ya kutoa tuzo kwa washindi itafanyika May 30 jijini Dar es salaam

Tuzo za mwaka huu zina vipengele 11 ambavyo ni Mchezaji Bora, Goli Bora, Golikipa Bora, Beki Bora, Kiungo Bora na Mshambuliaji Bora

Nyingine ni Mchezaji Bora Mwanamke, Mchezaji Bora Mdogo, Shabiki Bora, Tuzo ya Heshima na Mhamasishaji Bora katika mitandao ya kijamii

cut

Uongozi wa klabu ya Simba umewataka mashabiki kushiriki kikamilifu katika kupiga kura ili kuweza kuwapata washindi wanaostahili

Aidha ushiriki wa wengi utaondoa dhana ya upendelea katika tuzo hizo

Hivyo Wana Msimbazi hatupaswi kuwa nyuma kushiriki zoezi hili ambalo limeendelea kuipa heshima klabu ya Simba kwa kuwa ndio timu pekee kwa Tanzania inayowatuza wachezaji wake mwishoni mwa smimu

ADVERTISE HERE

Simba SC Stories

Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
1h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
5h ago
READ MORE β†’
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
17h ago
READ MORE β†’
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
23h ago
READ MORE β†’
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
1d ago
READ MORE β†’
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
1d ago
READ MORE β†’
FT : Simba 3-0 15 de Agosto, makundi CAFCL kibabe
FT : Simba 3-0 15 de Agosto, makundi CAFCL kibabe
1d ago
READ MORE β†’
Goals : Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Goals : Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
1d ago
READ MORE β†’