Aussems afurahia ushindi dhidi ya Mtibwa Sugar

Mwana Msimbazi By Mwana Msimbazi
β€’
16 May 2019
Aussems afurahia ushindi dhidi ya Mtibwa Sugar

Kocha Mkuu wa Simba Patrick Aussems ameeleza furaha yake baada ya timu hiyo kuibuka na ushindi wa mabao 3-0 dhidi ya Mtibwa Sugar katika mchezo wa ligi kuu uliopigwa uwanja wa Uhuru

Akizungumza na Wanahabari baada ya mchezo huo, Aussems amesema Simba ilitawala mchezo na ilistahili kuondoka na ushindi mnono

Aidha Aussems amesema ushindi umezidi kuisogeza Simba karibu na ubingwa wa pili mfululizo

"Tulitawala mchezo, tulitengeneza nafasi na tulifanikiwa kufunga. Jambo muhimu tumekaribia lengo letu," amesema Aussems

cut

Baada ya ushindi huo mnono, Simba inahitaji alama nne tu kuweza kutwaa ubingwa

Jumapili May 19 itashuka tena uwanja wa Uhuru kuikabili Ndanda Fc kisha kuelekea mkoani Singida ambako itacheza na Singida United May 21

Simba inaweza kutwaa ubingwa baada ya michezo hiyo miwili

ADVERTISE HERE

Simba SC Stories

Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
19m ago
READ MORE β†’
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
12h ago
READ MORE β†’
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
17h ago
READ MORE β†’
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
20h ago
READ MORE β†’
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
23h ago
READ MORE β†’
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
1d ago
READ MORE β†’
FT : Simba 3-0 15 de Agosto, makundi CAFCL kibabe
FT : Simba 3-0 15 de Agosto, makundi CAFCL kibabe
1d ago
READ MORE β†’
Goals : Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Goals : Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Kikosi : Simba vs 15 de Agosto, CAFCL R2
Kikosi : Simba vs 15 de Agosto, CAFCL R2
1d ago
READ MORE β†’