Bocco aweka rekodi ya mabao ligi kuu

Mwana Msimbazi By Mwana Msimbazi
β€’
16 May 2019
Bocco aweka rekodi ya mabao ligi kuu

Nahodha wa Simba John Bocco ndiye mfungaji bora wa muda wote ligi kuu ya Tanzania Bara

Bao alilofunga leo dhidi ya Mtibwa Sugar ni la 15 msimu huu, lakini linafanya afikishe mabao 113 tangu alipoanza kucheza ligi kuu mwaka 2009

Bocco ameendelea kuwa bora katika kuzifumania nyavu licha ya umri kuendelea kumtupa mkono

Uongozi wa Simba umeanza mchakato wa kumuongezea mkataba ili kuhakikisha anaendelea kubaki Msimbazi kwa muda mrefu

Mkataba wa Bocco unamalizika mwishoni mwa msimu

ADVERTISE HERE

Simba SC Stories

Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
1m ago
READ MORE β†’
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
11h ago
READ MORE β†’
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
17h ago
READ MORE β†’
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
20h ago
READ MORE β†’
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
23h ago
READ MORE β†’
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
23h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
1d ago
READ MORE β†’
FT : Simba 3-0 15 de Agosto, makundi CAFCL kibabe
FT : Simba 3-0 15 de Agosto, makundi CAFCL kibabe
1d ago
READ MORE β†’
Goals : Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Goals : Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Kikosi : Simba vs 15 de Agosto, CAFCL R2
Kikosi : Simba vs 15 de Agosto, CAFCL R2
1d ago
READ MORE β†’