Bodi ya ligi yafafanua mchezo dhidi ya Singida United kurudishwa nyuma

Mwana Msimbazi By Mwana Msimbazi
β€’
15 May 2019
Bodi ya ligi yafafanua mchezo dhidi ya Singida United kurudishwa nyuma

Mchezo wa ligi kuu kati ya Singida United dhidi ya Simba ambao awali ulipangwa kupigwa May 22, umerudishwa nyuma kwa siku moja na sasa utapigwa May 21 2019

Mtendaji Mkuu wa Bodi ya Ligi Boniface Wambura amesema wamelazimika kuurudisha nyuma mchezo huo nyuma licha ya Simba kukabiliwa na mchezo dhidi ya Ndanda Fc May 19 kutokana na muda uliobaki kabla ligi kumaliza

Aidha Simba inakabiliwa na mchezo wa Kimataifa wa kirafiki dhidi ya Sevilla May 23

Wambura amesema ligi inapaswa kumalizika May 28

Kwa maana hiyo Simba itashuka dimbani May 16, May 19, May 21, May 23, May 25 na May 28

Kwa wastani wachezaji watakuwa wakipumzika siku moja tu

Aidha mchezo dhidi ya Singida United utapigwa mkoani Singida kwa maana hiyo Simba italazimika kuanza safari ya kuelekea Singida baada ya mchezo dhidi ya Ndanda Fc kwani kutakuwa na siku moja ya kujiandaa kabla ya kushuka tena dimbani

Baada ya mchezo huo Simba itarejea jijini Dar es salaam kuiwahi Sevilla Fc, mchezo wa Kimataifa wa kirafiki utakaopigwa uwanja wa Taifa, May 23

ADVERTISE HERE

Simba SC Stories

Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
8m ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
4h ago
READ MORE β†’
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
16h ago
READ MORE β†’
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
21h ago
READ MORE β†’
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
1d ago
READ MORE β†’
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
1d ago
READ MORE β†’
FT : Simba 3-0 15 de Agosto, makundi CAFCL kibabe
FT : Simba 3-0 15 de Agosto, makundi CAFCL kibabe
1d ago
READ MORE β†’
Goals : Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Goals : Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
1d ago
READ MORE β†’