Simba yasaka alama saba kutoka mechi tano, kuanza na Mtibwa Sugar kesho

Mwana Msimbazi By Mwana Msimbazi
β€’
15 May 2019
Simba yasaka alama saba kutoka mechi tano, kuanza na Mtibwa Sugar kesho

Mabingwa watetezi ligi kuu ya Tanzania Bara Simba kesho Alhamisi watashuka kwenye uwanja wa Uhuru kuikabili Mtibwa Sugar katika mchezo wa kwanza baina ya timu hizo msimu huu

Baada ya kukosa ushindi katika michezo miwili iliyopita, kocha Patrick Aussems amesema mchezo wa kesho ni wa kufa au kupona kwa timu yake kuondoka na alama zote tatu

Jana baada ya Yanga kuifunga Ruvu Shooting bao 1-0, Simba imeshushwa katika nafasi ya pili kwenye msimamo wa ligi ikiwa na alama 82 wakati Yanga imefikisha alama 83

Hata hivyo Simba ina michezo mitatu ya viporo na kama itavuna alama saba kutoka michezo hiyo, basi itatwaa ubingwa ikiwa na mechi mbili mkononi

Kati ya michezo mitano iliyobaki, michezo mitatu itapigwa jijini Dar es salaam

ADVERTISE HERE

Simba SC Stories

Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
3h ago
READ MORE β†’
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
15h ago
READ MORE β†’
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
21h ago
READ MORE β†’
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
1d ago
READ MORE β†’
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
1d ago
READ MORE β†’
FT : Simba 3-0 15 de Agosto, makundi CAFCL kibabe
FT : Simba 3-0 15 de Agosto, makundi CAFCL kibabe
1d ago
READ MORE β†’
Goals : Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Goals : Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Kikosi : Simba vs 15 de Agosto, CAFCL R2
Kikosi : Simba vs 15 de Agosto, CAFCL R2
1d ago
READ MORE β†’