Sihofii changamoto ya namba Simba - Kakolanya

Mwana Msimbazi By Mwana Msimbazi
β€’
14 May 2019
Sihofii changamoto ya namba Simba - Kakolanya

Aliyekuwa mlinda lango wa Yanga Beno Kakolanya amesema kama atajiunga na Simba hahofii changamoto ya kupata namba mbele ya Aishi Manula

Kakolanya ni mchezaji huru baada ya TFF kuvunja mkataba wake na Yanga

Kakolanya aligoma kuichezea timu hiyo akishinikiza alipwe malimbikizo ya mishahara na fedha za usajili

Anahusishwa na timu za Simba na Azam Fc lakini Simba ikitajwa kuwa na nafasi nzuri zaidi ya kumsajili

"Kwa sasa mimi ni mchezaji huru, niko tayari kujiunga na timu yoyote tutakayofikiana makubaliano," amesema

"Kama Simba itanifuata na kukubali mahitaji yangu, nitajiunga nayo. Simhofii mchezaji yeyote, najiamini na niko tayari kukabiliana na changamoto yoyote"

Simba ina makipa watatu wa kikosi cha kwanza Aishi Manula, Deogratius Munishi na Ali Salim

Kama itamsajili Kakolanya basi huenda ikaachana na 'Dida' aliyetua mwanzoni mwa msimu kutokea Afrika Kusini

ADVERTISE HERE

Simba SC Stories

Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
3h ago
READ MORE β†’
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
9h ago
READ MORE β†’
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
12h ago
READ MORE β†’
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
15h ago
READ MORE β†’
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
15h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
15h ago
READ MORE β†’
FT : Simba 3-0 15 de Agosto, makundi CAFCL kibabe
FT : Simba 3-0 15 de Agosto, makundi CAFCL kibabe
1d ago
READ MORE β†’
Goals : Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Goals : Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Kikosi : Simba vs 15 de Agosto, CAFCL R2
Kikosi : Simba vs 15 de Agosto, CAFCL R2
1d ago
READ MORE β†’
Mnyama kutinga makundi CAFCL kwa rekodi dhidi ya 15 de Agosto leo
Mnyama kutinga makundi CAFCL kwa rekodi dhidi ya 15 de Agosto leo
1d ago
READ MORE β†’