Huyu Kambole akija itakuwa 'balaa'

Mwana Msimbazi By Mwana Msimbazi
β€’
13 May 2019
Huyu Kambole akija itakuwa 'balaa'

Inaelezwa uongozi wa Simba uko kwenye mkakati wa kumnasa mshambuliaji hatari wa ZESCO United Lazarus Kambole

Kambole amekuwa kwenye kiwango bora cha kupachika mabao katika klabu ya ZESCO na ndio anashikilia rekodi ya akufunga hat-trik kwa muda mfupi zaidi kwenye michuano ya ligi ya mabingwa barani Afrika

Msimu uliopita Kambole alifunga hat-trik dhidi ya Mbabane Swallows ndani ya dakika tano

Mshambuliaji huyo wa Kimataifa wa Zambia ana umri wa miaka 25 na kuna uwezekano mkubwa atatua Msimbazi kuungana na Mzambia mwingine Clatous Chama

Usajili wake unalenga zaidi michuano ya ligi ya mabingwa msimu ujao ambapo Simba imepania kufanya zaidi ya kile ilichofanya msimu huu

ADVERTISE HERE

Simba SC Stories

Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
1h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
5h ago
READ MORE β†’
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
17h ago
READ MORE β†’
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
23h ago
READ MORE β†’
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
1d ago
READ MORE β†’
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
1d ago
READ MORE β†’
FT : Simba 3-0 15 de Agosto, makundi CAFCL kibabe
FT : Simba 3-0 15 de Agosto, makundi CAFCL kibabe
1d ago
READ MORE β†’
Goals : Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Goals : Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
1d ago
READ MORE β†’