Aussems auhofia mchezo dhidi ya Azam Fc

Mwana Msimbazi By Mwana Msimbazi
β€’
12 May 2019
Aussems auhofia mchezo dhidi ya Azam Fc

Kocha Mkuu wa Simba Patrick Aussems amesema mchezo wa kesho dhidi ya Azam Fc hautakuwa mwepesi na anaamini kama timu yake itaibuka na ushindi, basi wanaweza kutwaa ubingwa wa ligi kuu mapema

Simba ina michezo mitatu mfululizo itakayopigwa uwanja wa Uhuru na kama watashinda yote, basi watatetea ubingwa kabla ya kuivaa Sevilla May 23 mchezo ambao unaweza kutumika kuwakabidhi taji

Baada ya mchezo dhidi ya Azam, mchezo unaofuata ni dhidi ya Mtibwa Sugar kisha kumaliza na Ndanda Fc May 19

"Ushindi mchezo dhidi ya Azam ni muhimu. Matokeo hayo yatatuweka katika nafasi nzuri zaidi ya kutwaa ubingwa," amesema

"Azam ni timu nzuri, tuliwafunga kwenye mchezo wa kwanza. Tunahitaji kuwa katika kiwango bora ili tuwafunge tena"

Hata hivyo Aussems amesema Simba bado ina michezo mingi (sita) na lengo lao ni kushinda yote

"Mechi zote zilizobaki tunazichukulia kwa umuhimu uliosawa. Tunafahamu hazitakuwa nyepesi lakini tumedhamiria kutetea ubingwa hivyo tunahitaji matokeo a ushindi. Tutapambana kadiri ya uwezo wetu ili kufikia malengo"

ADVERTISE HERE

Simba SC Stories

Janza atangazwa Mkurugenzi wa ufundi Simba
Janza atangazwa Mkurugenzi wa ufundi Simba
11m ago
READ MORE β†’
Barker hamuhofii yeyote makundi CAFCL
Barker hamuhofii yeyote makundi CAFCL
2h ago
READ MORE β†’
Fountain Gate wanaandaliwa dozi inayowatosha
Fountain Gate wanaandaliwa dozi inayowatosha
3h ago
READ MORE β†’
Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
5h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
9h ago
READ MORE β†’
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
21h ago
READ MORE β†’
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
1d ago
READ MORE β†’
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
1d ago
READ MORE β†’
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
1d ago
READ MORE β†’