Aussems ahakikishiwa mkataba mpya Simba

Mwana Msimbazi By Mwana Msimbazi
β€’
11 May 2019
Aussems ahakikishiwa mkataba mpya Simba

Kocha Mkuu wa Simba Patrick Aussems atasaini mkataba mwingine wa kuendelea kuifundisha timu hiyo baada ya mkataba wake wa awali kumalizika imefahamika

Aussems aliyetua Simba mwezi Julai mwaka jana, ametimiza masharti aliyopangiwa msimu uliopita ambapo alitakiwa kuifikisha timu hatua ya makundi ya ligi ya mabingwa pamoja na kutwaa taji la ligi kuu

Chini yake Simba imefanikiwa kutinga robo fainali ya michuano ya ligi ya mabingwa na iko mbioni kukamilisha sharti la pili la kutwaa ubingwa wa ligi kuu

Inaelezwa Bodi ya Wakurugenzi ya Simba chini ya Mwenyekiti wake Mohammed Dewji 'Mo' itampa Aussems mkataba wa mwaka mmoja na atasaini mkataba huo kabla ya kurejea kwao kwa ajili ya mapumziko baada ya ligi kumalizika

ADVERTISE HERE

Simba SC Stories

Janza atangazwa Mkurugenzi wa ufundi Simba
Janza atangazwa Mkurugenzi wa ufundi Simba
8m ago
READ MORE β†’
Barker hamuhofii yeyote makundi CAFCL
Barker hamuhofii yeyote makundi CAFCL
2h ago
READ MORE β†’
Fountain Gate wanaandaliwa dozi inayowatosha
Fountain Gate wanaandaliwa dozi inayowatosha
3h ago
READ MORE β†’
Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
5h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
9h ago
READ MORE β†’
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
21h ago
READ MORE β†’
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
1d ago
READ MORE β†’
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
1d ago
READ MORE β†’
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
1d ago
READ MORE β†’