Kocha Mkuu wa Simba Patrick Aussems ameonyesha kuwa na imani na beki wake wa pembeni Zana Coulibaly licha ya beki huyo kutowashawishi mashabiki wa timu hiyo
Zana amekuwa akilalamikiwa na mashabiki kutokana na kiwango chake 'kutotabirika' katika baadhi ya michezo
Aussems amesisitiza beki huyo ana uwezo, anahitaji muda zaidi, avumiliwe
ADVERTISE HERE