Straika Mzambia kujaribiwa mechi ya KMC

Mwana Msimbazi By Mwana Msimbazi
β€’
8 Dec 2017
Straika Mzambia kujaribiwa mechi ya KMC
Mshambuliaji kutoka mabingwa wa ligi kuu ya Zambia, Jonas Sehukawa yuko kwenye kikosi cha Simba tangu Jumatatu akifanya majaribio.

Kocha msaidizi wa Simba Masudi Djuma ambaye ndiye anayesimamia mazoezi kwa sasa, amesema Mzambia huyo ameonyesha kiwango kizuri mpaka sasa lakini anahitaji kumuangalia zaidi katika mechi.

Hivyo katika mchezo wa kesho ambao Simba itaivaa KMC, Sehukawa atapata nafasi rasmi ya kuichezea Simba ili kulipa nafasi benchi la Ufundi liweze kumuangalia kabla ya kufanya maamuzi ya kumpa mkataba.

Iwapo Sehukawa atafuzu majaribio, Simba huenda ikaachana na Laudirt Mavugo anayewaniwa na Gor Mahia ya Kenya.
ADVERTISE HERE

Simba SC Stories

Janza atangazwa Mkurugenzi wa ufundi Simba
Janza atangazwa Mkurugenzi wa ufundi Simba
13h ago
READ MORE β†’
Barker hamuhofii yeyote makundi CAFCL
Barker hamuhofii yeyote makundi CAFCL
16h ago
READ MORE β†’
Fountain Gate wanaandaliwa dozi inayowatosha
Fountain Gate wanaandaliwa dozi inayowatosha
17h ago
READ MORE β†’
Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
19h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
23h ago
READ MORE β†’
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
1d ago
READ MORE β†’
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
1d ago
READ MORE β†’
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
1d ago
READ MORE β†’
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
1d ago
READ MORE β†’