Simba yaita mashabiki uwanja wa Uhuru

Mwana Msimbazi By Mwana Msimbazi
β€’
10 May 2019
Simba yaita mashabiki uwanja wa Uhuru

Uongozi wa klabu ya Simba umewataka mashabiki wa timu hiyo kujitokeza kwa wingi uwanja wa Uhuru leo wakati mabingwa hao wa nchi watakapokuwa wakichuana na Kagera Sugar

Simba inahitaji ushindi kwenye mchezo huo ili kuendelea kuukaribia ubingwa ambapo wanahitaji kushinda michezo minne tu

Msemaji wa Simba Haji Manara amesema baada ya kupoteza mchezo wa mkoani Kagera, leo ni zamu ya Wana Msimbazi kufurahi kwenye dimba lao la nyumbani

"Kutesa kwa zamu, zamu yao iliishia Kagera na sisi leo zamu yetu. Wanasimba tujitokeze kwa wingi kuwashangilia wachezaji wetu mwanzo wa mchezo hadi mwisho," amesema

Licha ya hali ya hewa ya mvua inayoendelea kunyesha jijini Dar es salaam, mchezo huo utapigwa kama ulivyopanga

ADVERTISE HERE

Simba SC Stories

Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
1m ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
4h ago
READ MORE β†’
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
16h ago
READ MORE β†’
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
21h ago
READ MORE β†’
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
1d ago
READ MORE β†’
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
1d ago
READ MORE β†’
FT : Simba 3-0 15 de Agosto, makundi CAFCL kibabe
FT : Simba 3-0 15 de Agosto, makundi CAFCL kibabe
1d ago
READ MORE β†’
Goals : Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Goals : Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
1d ago
READ MORE β†’