Kagera Sugar mmeiona shughuli ya mnyama?

Mwana Msimbazi By Mwana Msimbazi
β€’
8 May 2019
Kagera Sugar mmeiona shughuli ya mnyama?

Baada ya ushindi wa leo wa mabao 8-1 dhidi ya Coastal Union, kikosi cha Simba kitarejea kwenye dimba la Uhuru keshokutwa Ijumaa kuikabili Kagera Sugar

Simba ilipoteza mchezo wa kwanza uliopigwa mkoani Kagera na itakuwa na nafasi ya kulipa kisasi Ijumaa

Simba imeonyesha kiwango bora sana kwenye mchezo dhidi ya Coastal Union licha ya mazingira ya uwanja wa Uhuru kujaa maji kutokana na mvua zinazoendelea kunyesha jijini Dar es salaam

Ushindi wa leo ni salamu kwa vijana wa Meckie Mexime kuwa mnyama yuko 'on-fire' na wajiandae kisaikolojia..!

ADVERTISE HERE

Simba SC Stories

Makundi CAFCL kujulikana leo
Makundi CAFCL kujulikana leo
58m ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
4h ago
READ MORE β†’
Janza atangazwa Mkurugenzi wa ufundi Simba
Janza atangazwa Mkurugenzi wa ufundi Simba
18h ago
READ MORE β†’
Barker hamuhofii yeyote makundi CAFCL
Barker hamuhofii yeyote makundi CAFCL
21h ago
READ MORE β†’
Fountain Gate wanaandaliwa dozi inayowatosha
Fountain Gate wanaandaliwa dozi inayowatosha
22h ago
READ MORE β†’
Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
1d ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
1d ago
READ MORE β†’
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
1d ago
READ MORE β†’
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
1d ago
READ MORE β†’
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
2d ago
READ MORE β†’