Mvua zinazoendelea kunyesha jijini Dar es salaam zimesababisha maji kujaa katika dimba la Uwanja wa Uhuru
Leo Simba itashuka katika uwanja huo kumenyana na Coastal Union katika mchezo wa ligi kuu ya Tanzania Bara
Inaelezwa mchezo huo utachezwa licha ya mazingira hayo
Tayari wasimamizi wa uwanja wamechukua hatua ya kuondoa maji yaliyotuama maeneo mbalimbali ya uwanja
ADVERTISE HERE