Birthday yamkumbusha Mo tukio la kutekwa

Mwana Msimbazi By Mwana Msimbazi
β€’
8 May 2019
Birthday yamkumbusha Mo tukio la kutekwa

Mwekezaji wa klabu ya Simba Mohammed Dewji 'Mo' leo ni kumbukumbu ya siku yake ya kuzaliwa

Katika ujumbe alioutoa, Mo amewashukuru Watanzania waliompigania kipindi chote alichokuwa ametekwa na watu wasiojulikana

Kupitia ukurasa wake wa mtandao wa Instagram Mo ameandika;

"Asante Mungu kwa muujiza wako wa kunipa nafasi ya pili katika maisha. Upendo na ulinzi wako umenisogeza karibu na wewe, na kunirejesha katika azma yangu ya kusaidia jamii"

"Asante Mungu kwa kuniponya, kunipa nguvu ya kuhimili dhoruba na kuendelea kuniinua"

"Nipo hapa leo sababu ya sala na msaada kutoka kwa wanaonitakia mema. Hakuna siku ambayo inaenda bila kuwaombea muishi maisha marefu, yenye afya, furaha na ulinzi"

"Hata katika ukimya wangu, mjue kwamba ninyi ni malaika milele ndani ya moyo wangu"

ADVERTISE HERE

Simba SC Stories

Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
3h ago
READ MORE β†’
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
15h ago
READ MORE β†’
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
21h ago
READ MORE β†’
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
23h ago
READ MORE β†’
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
1d ago
READ MORE β†’
FT : Simba 3-0 15 de Agosto, makundi CAFCL kibabe
FT : Simba 3-0 15 de Agosto, makundi CAFCL kibabe
1d ago
READ MORE β†’
Goals : Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Goals : Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Kikosi : Simba vs 15 de Agosto, CAFCL R2
Kikosi : Simba vs 15 de Agosto, CAFCL R2
1d ago
READ MORE β†’