Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi ya Simba Mohammed Dewji 'Mo' leo anasherehekea kumbukumbu ya siku yake ya kuzaliwa
Wanamsimbazi wanayo kila sababu ya kujivunia uwepo wa Mo katika klabu ya Simba kwani ukizungumzia mafanikio ya klabu katika misimu hii miwili, yamechangiwa na uwekezaji mkubwa aliofanya Mo
Tunamtakia kila kheri, Mungu amjalie afya njema aweze kutimiza mambo makubwa aliyopanga kuifanyia Simba
HAPPY BIRTHDAY MO...!
ADVERTISE HERE