Kikosi cha Simba leo jioni kimefanya mazoezi ya mwisho kuelekea mchezo wa ligi kuu ya Tanzania Bara dhidi ya Coastal Union
Mchezo huo utapigwa kesho Jumatano kwenye uwanja wa Uhuru
Ushindi dhidi ya Coastal Union utaihakikishia Simba kupanda kileleni mwa msimamo wa ligi


ADVERTISE HERE