Manara akumbushia kipigo cha 5-0 kwa Yanga mwaka 2012

Mwana Msimbazi By Mwana Msimbazi
β€’
6 May 2019
Manara akumbushia kipigo cha 5-0 kwa Yanga mwaka 2012

Tarehe kama ya leo miaka saba iliyopita, Simba iliifumua Yanga mabao 5-0 katika mchezo wa ligi kuu ya Tanzania Bara, Emmanuel Okwi wakati huo akiwa 'kinda' akitupia mabao mawili kwenye mchezo huo

Msemaji wa Simba Haji Manara amesema ukichilia mbali mabingwa hao watarajiwa wa ligi kuu kuwahi kuifunga Yanga mabao 6-0 miaka ya 70, kipigo cha mwaka 2012 ndicho kinachowauma zaidi kwani wengi wa mashabiki wa timu hiyo walikishuhudia

"Ni miaka saba kamili imetimia,tokea tulipofanya mauaji makubwa zaidi kwa migongowazi katika karne hii," ameandika Manara ukurasa wa Instagram

"Ingawa kina Emmanuel Okwi hawakuvunja rekodi ya sita bila ya mwaka 1977 tulipowapa kipigo kingine,ila hiki cha tano bila kinawauma zaidi kwa sababu wengi wao wamekishuhudia"

Kwa miaka ya hivi karibuni Simba imetawala mpambano wa watani wa jadi ikiwa haijapoteza mchezo dhidi ya Yanga tangu mwaka 2016

ADVERTISE HERE

Simba SC Stories

Janza atangazwa Mkurugenzi wa ufundi Simba
Janza atangazwa Mkurugenzi wa ufundi Simba
3h ago
READ MORE β†’
Barker hamuhofii yeyote makundi CAFCL
Barker hamuhofii yeyote makundi CAFCL
5h ago
READ MORE β†’
Fountain Gate wanaandaliwa dozi inayowatosha
Fountain Gate wanaandaliwa dozi inayowatosha
6h ago
READ MORE β†’
Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
8h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
12h ago
READ MORE β†’
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
1d ago
READ MORE β†’
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
1d ago
READ MORE β†’
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
1d ago
READ MORE β†’
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
1d ago
READ MORE β†’