Simba mwendo mdundo, ubingwa huoooo

Mwana Msimbazi By Mwana Msimbazi
β€’
5 May 2019
Simba mwendo mdundo, ubingwa huoooo

Ni suala la muda tu kabla ya mabingwa wa nchi, Simba kutangazwa tena kuwa wameuhifadhi ubingwa wao kwa msimu wa pili mfululizo baada ya ushindi wa leo wa bao 1-0 dhidi ya Tanzania Prisons

Simba imejiweka katika mazingira mzuri ya kutetea ubingwa wake baada ya kuondoka na alama zote sita mkoani Mbeya

Mbeya City na Tanzania Prisons zilikuwa zikiangaliwa kuwa na uwezo wa 'kuitibulia' Simba hesabu zake kuelekea ubingwa

Simba imesalia na michezo nane, michezo sita itapigwa jijini Dar es salaam kunako uwanja wa Taifa au Uhuru

Simba itatoka nje ya jiji kuzifuata Singida United na Mtibwa Sugar (mchezo wa pili) wakati Coastal Union, Kagera Sugar, Azam Fc, Mtibwa Sugar(mchezo wa kwanza), Ndanda na Biashara United zote zitaifuata Simba 'majinjioni' uwanja wa Taifa

Simba huenda ikarejea rasmi kileleni mwa msimamo wa ligi Jumatano May 08 itakapocheza na Coastal Union mchezo utakaopigwa uwanja wa Taifa/Uhuru

ADVERTISE HERE

Simba SC Stories

Janza atangazwa Mkurugenzi wa ufundi Simba
Janza atangazwa Mkurugenzi wa ufundi Simba
10h ago
READ MORE β†’
Barker hamuhofii yeyote makundi CAFCL
Barker hamuhofii yeyote makundi CAFCL
12h ago
READ MORE β†’
Fountain Gate wanaandaliwa dozi inayowatosha
Fountain Gate wanaandaliwa dozi inayowatosha
13h ago
READ MORE β†’
Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
15h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
20h ago
READ MORE β†’
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
1d ago
READ MORE β†’
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
1d ago
READ MORE β†’
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
1d ago
READ MORE β†’
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
1d ago
READ MORE β†’