Simba yakwama kwenda Mbeya asubuhi, kuondoka mchana

Mwana Msimbazi By Mwana Msimbazi
β€’
2 May 2019
Simba yakwama kwenda Mbeya asubuhi, kuondoka mchana

Meneja wa Simba Patrick Rweyemamu amesema kikosi cha timu hiyo kilikwama kusafiri kwenda mkoani Mbeya asubuhi ya leo kutokana na matatizo yaliyo nje ya uwezo wao

Hata hivyo amesema Simba itaondoka mchana huu wa Alhamisi kwa usafiri wa ndege kuwahi mchezo wa kesho dhidi ya Mbeya City

Aidha kufuatia mabadiliko hayo, asubuhi Simba iliendelea na mazoezi kwenye uwanja wa Boko Veterans yakiwa ni mazoezi ya mwisho kuelekea mchezo huo

Kesho Ijumaa Simba itashuka uwanja wa Sokoine kuikabili Mbeya City kisha kurejea tena katika uwanja huo siku mbili baadae kuikabili Tanzania Prisons

ADVERTISE HERE

Simba SC Stories

Janza atangazwa Mkurugenzi wa ufundi Simba
Janza atangazwa Mkurugenzi wa ufundi Simba
2h ago
READ MORE β†’
Barker hamuhofii yeyote makundi CAFCL
Barker hamuhofii yeyote makundi CAFCL
4h ago
READ MORE β†’
Fountain Gate wanaandaliwa dozi inayowatosha
Fountain Gate wanaandaliwa dozi inayowatosha
5h ago
READ MORE β†’
Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
7h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
12h ago
READ MORE β†’
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
23h ago
READ MORE β†’
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
1d ago
READ MORE β†’
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
1d ago
READ MORE β†’
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
1d ago
READ MORE β†’