Ubora wa Simba watajwa kuwa kigezo cha kuipambanisha na Sevilla

Mwana Msimbazi By Mwana Msimbazi
β€’
30 Apr 2019
Ubora wa Simba watajwa kuwa kigezo cha kuipambanisha na Sevilla

Simba ndio itakayocheza na Sevilla mchezo wa kirafiki utakaopigwa uwanja wa Taifa, May 23 mwaka huu

Akieleza sababu ya kuichagua Simba, Katibu Mkuu wa Shirikisho la soka Tanzania (TFF), Wilfred Kidao alisema wamelazimika kuipa nafasi Simba kutokana na ubora wa kikosi chake na mafanikio yake katika ushiriki wa michuano ya SportPesa.

"Kwa hapa nchini Simba ndiyo klabu pekee ambayo imekuwa ikishiriki michuano hiyo na mwaka huu imefika hatua nzuri ya nusu fainali,hivyo tumeona ni vyema ikatuwakilisha katika mchezo huo wa Kimataifa," amesema

Nae Mkurugenzi wa Utawala na Uzalishaji wa Sportpesa Tanzania, Tarimba Abasi amesema, mchezo huo utakuwa chachu ya maendeleo ya soka la Tanzania na utatangaza ukubwa wa soka la Tanzania katika nchi mbalimbali.

"Mchezo huu utaonyeshwa na Runinga mbalimbali za Kimataifa hivyo fursa hiyo itatutangaza ukubwa wetu katika michezo na utalii wa nchi"

ADVERTISE HERE

Simba SC Stories

Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
10h ago
READ MORE β†’
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
16h ago
READ MORE β†’
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
19h ago
READ MORE β†’
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
22h ago
READ MORE β†’
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
22h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
23h ago
READ MORE β†’
FT : Simba 3-0 15 de Agosto, makundi CAFCL kibabe
FT : Simba 3-0 15 de Agosto, makundi CAFCL kibabe
1d ago
READ MORE β†’
Goals : Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Goals : Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Kikosi : Simba vs 15 de Agosto, CAFCL R2
Kikosi : Simba vs 15 de Agosto, CAFCL R2
1d ago
READ MORE β†’
Mnyama kutinga makundi CAFCL kwa rekodi dhidi ya 15 de Agosto leo
Mnyama kutinga makundi CAFCL kwa rekodi dhidi ya 15 de Agosto leo
1d ago
READ MORE β†’